Tunaomba mamlaka husika za Tanzania zifuatilie malalamiko ya kundi la vijana Watanzania waliolipa fedha kwa Top Education Consulting Limited (TEC) kwa ajili ya huduma za recruitment/placement ya...
Habari zenu,
Mdogo wangu ni muhitimu wa Diploma ya Clinical Medicine na amechaguliwa Bachelor of Procurement and Supply Chain Management Mzumbe. Wataalamu mbalimbali mnaonaje mchanganyiko huu...
Kuna shule huku Mkoa wa Dar es Salaam ipo Wilaya ya Temeke Nzasa maeneo ya Mbagala, mwanafunzi akikataa kununua biashara ya mwalimu, anapigwa.
Fedha za mitihani nazo tunatoa kila mara hadi...
What to Consider Before Applying for a Degree Programme 2026
1. Know Your Form Six Subject Combination
Your Advanced Level subject combination determines the degree programmes you are eligible to...
Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kina utaratibu mbovu wa kuingia kwenye mfumo unaosimamia taarifa za wanafunzi uitwao SUASIS ambao taarifa za mwanafunzi zinapatikana ikiwemo matokeo, usajili wa...
Tumepata changamoto nyingine NACTVET, ambapo mfumo wao hauwezi kutoa AVN Number ya pili kwa mtu aliyesoma zaidi ya Diploma moja. Mimi nimesoma Diploma ya pili, lakini ninapoomba AVN kwa ajili ya...
Kuna kozi za education zinatutesa sana. Kozi hizi nyingi zinatolewa UDOM.
Mfano bachelor of education in psychology, education in administration and management, education in policy planning...
Nina hoja kuhusu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) naomba kuwasilisha moja ya jambo ambalo halijatolewa ufafanuzi kamili kuhusu mwenendo (progress) ya ulipwaji wa Overpayment kwa sisi ambao...
Habari wanaJF,
Natumaini mko salama. Nina siku nyingi sijaja humu. Ila leo nimepata nafasi tena. Moto usizime. Mbele daima!
Leo tutazungumza kuhusu jinsi ya kutumia AI bila AI kukutumia wewe. AI...
Kuna kitu kinachokera sana hapa Shule ya Msingi Dovya, iliyopo Mbagala Chamazi. Walimu wanatoza wanafunzi kila Jumatano kiasi cha Sh 1,200 kwa ajili ya mtihani, hata kama siku hiyo hakutakuwa na...
Suala la kuingiliwa kwa mfumo wa matokeo wa chuo kikuu, kama ilivyodaiwa kutokea katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ni jambo la kusikitisha na lenye madhara makubwa kwa uaminifu wa...
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), nikiwa katika mwaka wa pili wa masomo. Naomba kutoa malalamiko yangu kuhusu mwenendo wa mmoja wa wahadhiri wetu, ambaye kwa mtazamo wangu...
Wakuu mimi nimesoma bachelor of science with education, nina gpa ya 4.4 na kwa sasa niko mtaani nina duka la cosmetics.
Sasa wazazi wamenipa shavu kuwa niende masters nikajiendeleze wakati...
Tumemaliza toka mwezi wa 6 mwanzoni mbaka leo atujapata vyeti na kila kutiwatafuta wanasema baada ya wiki mbili hata ukienda pale veta kipawa majibu ayo ayo tunashindwa kufanya vitu vyengine...
Hapa ndio chuo nilipoanzia kujifunza mambo ya Buddhism, meditation, chanting nk. Hii ni picha ya mwaka 1997, na hiyo ni sehemu ya wanachuo.
Hiki kilikuwa ni chuo kugumu na chenye sheria kali...
Kwa zaidi ya Miaka 10 sasa ukipitia Majukwaa mbalimbali humu utakutana na Malalamiko ya Wazazi na Walezi kuhusu Maamuzi kadha wa kadha yanayotolewa na Shule Binafsi nchini ambayo yaaathiri Malezi...
Ndugu wanajamhuri ya Jf nini litoto langu pale nyumbani. Nililisomesha mipango dodoma akasoma coarse ya urban planing .. sasa najiuliza ataajiliwa kama nani maaana hata sielewi naomben msaada...
Mbeya Mjini wanafunzi wa Sekondari wanasoma mpaka saa nne usiku, fikiria mtoto anatoka nyumbani Saa 12 Asubuhi anarudi Saa 4 Usiku, ni masomo gani hayo, na vipi kuhusu usalama wa watoto?
Jambo...
Private Media za Arusha (radio za Arusha) mfano mzuri ni SUNRISE ARUSHA FM na radio zingine wanatoza wanafunzi wa field Sh 50,000 up to 70,000 sasa sijui kama ni utaratibu umewekwa au wakina nani...