Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kuna digrii ambazo hazina maana yoyote kwa wakati wa sasa. Chuo kikuu cha Makerere kimefuta degree courses zifuatazo Scrapped courses Bachelor of Science in Horticulture Bachelor of Science in...
9 Reactions
105 Replies
17K Views
Diploma-digrii#safi Cheti-diploma#safi TAMISEMI haitambui masters Kama unabisha soma utaisoma namba na stress juu.... Kinachohudhi mshahara haupandi kamwe... NB: km umepewa ahadi ya cheo kasome....
1 Reactions
44 Replies
8K Views
First of all I would thanks to god up to where am, second for those who have been blessed to pursue masters programs may you get me your assistance that am a last year student pursuing bachelor...
0 Reactions
48 Replies
9K Views
NAOMBENI MNISAIDIE KIDOGO,, NIMECHANGANYIKIWA! HIVI NINA DEGREE YA UALIMU WA MATH'S AND PHYSICS, NACHOHITAJI KUJUA NI KWAMBA NARUHUSIWA KUOMBA AJIRA SERIKALINI ANGALAU NIKIWA NA GPA YA NGAPI.¿ PIA...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari marafiki, Nimepewa ofa ya kupublish tafiti (papers) kwenye Journal ya Energies ya MDPI bure kabisa (free of chaji) katika topic zifuatazo: 1. Natural Gas Resources and Exploration 2...
2 Reactions
6 Replies
501 Views
Kwema wakuu Najifikiria kama kuna haja ili niende nikasome.Je itaniongezea chochote au nitulie tu na degree moja
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Anonymous
Kuna hiki chuo chetu cha DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY (DIT) chuo toka kimefunguliwa wiki ya 7 sasa lakini wanafunzi hatujasajiliwa kisa mfumo unao-monitor wanafunzi yaani "SOMA-DIT" una...
0 Reactions
11 Replies
948 Views
Form five advanced mathematics books! Get them here BAM topics zinakuja!
0 Reactions
3 Replies
3K Views
In a survey of 100 people, participants were asked to rate their satisfaction level on three different aspects: price, quality, and customer service. The results are as follows: | Aspect | Very...
1 Reactions
1 Replies
406 Views
Anonymous
Habari Naomba mtusaidie kupanza sauti kwa mamlaka zinazohusika, Kutokana na uchafu uliokithiri vyoo vya Chuo Kikuu Dodoma na hali iliyopo kwa sasa ya masika muda wowote kutatokea magonjwa ya...
0 Reactions
1 Replies
284 Views
Anonymous
Tusaidieni kupaza sauti kwa wahitimu wa Masters chuo Cha Uhasibu Arusha IAA, graduation ni Ijumaa ya tr 13 December , mpaka sasa matokeo ya utafiti hayajatolewa , majina ya wanaotakiwa kuhitimu...
1 Reactions
8 Replies
715 Views
Ujuzi wake nauona kamaliza forum 4 window anajua kuitengeneza computer anajua eti nisaidie wakuu kati ya computer science na information technology au kozi yoyote ya computer,, Mimi baba yake...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Wandugu heshima zenu, Nina mpango wa kusoma Masters in Humanitarian Assistance, na inabidi iwe online kwani natamani nisome huku nikiendelea na ajira. Nimejaribu kugoogle na nikafanikiwa kuona...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu, Naomba Ushuri au Kuelekezwa Namna ya Kusajiri Kituo cha Kufanyia Mitihani ya QT na Wanaorudia Mitihani ya Kidato cha Nne. Kwa Sasa Kituo Kipo Tuition Center tu, Je Kuna Vigezo Gani...
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Habari za muda huu Wakuu? Msaada kwenye tuta nina rafiki yangu kwa sasa yupo South Africa 🇿🇦 sasa Visa/Passport aloingia nayo kule inabidi asome course ya OCCUPATION AND HEALTH SAFETY haiwezekani...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Tunaomba mtusaidie kufuatilia na kupaza sauti. Shule ya sekondari Ntare, iliyopo Kyerwa Ina michango mingi sana ya nje ya utaratibu. Mtoto wa kidato cha nne, wanapeleka debe 8 za mahindi, na debe...
0 Reactions
1 Replies
359 Views
Kichwa cha habari chahusika, Nina kaka angu alimaliza form four miaka ya nyuma na hakuweza kufaulu kuendelea na form five, sasa hivi anawaza kuingia chuo asome sheria ila matokeo yake ana C ya...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wadau wa elimu Kama picha inavojieleza hicho ndicho kiasi ambacho nimepangiwa na HESLB kwa mwaka wa masomo 2023/2024.... Nahitaji ushauri, maoni, faida na hasara za kukata...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Wakuu naombeni mnifahamishe vizuri kuhusu hii course kwa upande wa ajira maana kuna ubishi fulani umejitokeza na jamaa zangu wanasema eti haina ajira
0 Reactions
34 Replies
18K Views
Habarini wakuu, Hivi watu wanaosoma Health Service Management wanafanya kaz zipi baadae?
1 Reactions
33 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…