Wana JF mimi si mwandishi mzuri kwa sababu niliishia na 5B, lakini ningependa tujadili suala fulani kuhusu elimu.
Toka serikali ijipange kwamba inabadilisha mtaala watoto primary watasoma kwa...
Good Afternoon my dear brothers and sisters out there.
Eti wadau, tunaweza kufuta form six?? Mwanafunzi akianza form one, aende mpaka form five (Non stop) alafu chuo??
Yaani tunaua mitihani ya...
Changamoto inayowakumba wazazi wengi wanaotafuta elimu bora kwa watoto wao licha ya vipato vidogo.
Ndugu wanajamii, mimi ni mzazi naomba msaada wenu kupata shule bora na yenye gharama nafuu kwa...
Habari ya leo,
Nimeandika vitabu vya English na Math Mitihani 20 na majibu yake kila kimoja kwa shule za msingi (Darasa la Tano hadi la Saba wanaweza kuvitumia).
Ninauliza nitapata changamoto...
Hii changamoto imetokea tangu mwaka 2022 ikatulazimu tuendelee kusubiri maana bado tulikuwa tunasoma , hivyo hela iliyokuwa imezidi ikawa inatumika kwa michango mingine kama direct cost na...
1. What is the primary function of commerce?
a) Production
b) Distribution
c) Consumption
d) Exchange
2. Which of the following is a type of trade?
a) Domestic trade
b)...
Nimesign boom Jana ya awamu ya kwanza baada ya ku appeal Sasa kwenye lo verification imekuja Moja na kwenye failed imeandika Moja apo wasiwasi wangu kwenye failed.lakin message nimetumiwa uku kuwa...
Kuondoa masomo ya uraia, aliyeshauri haya achunguzwe.
Muhutasari huu hapa.
Maboresho ya sera ya elimu. Yapo mengi ila hapa wamewasilisha machache tu...
Wenzetu hawalali kila siku wanapenda kujua siri za Sayari zilizopo karibu na Dunia yetu, Chombo kinachohusika na masuala ya masafa marefu ya Angani Nasa wanafanikiwa kuweka rekodi ya Dunia kuwa...
Habari wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nimechaguliwa kujiunga na chuo cha DIT (Dar es salaam) pamoja na MUST(Mbeya) katika course ya computer engineering.
Swali langu ni je, niende...
Changamoto za Wanafunzi Walionufaika na Samia Scholarship – Ombi la Msaada
Tunapenda kuwasilisha changamoto zinazowakumba baadhi ya wanafunzi walionufaika na Samia Scholarship katika Chuo Kikuu...