Ni Kozi ipi ya Computer ina soko kwa sasa?

Vocal Fremitus

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
1,187
5,996
Wadau naomba kujuzwa kuhusu hiyo mada hapo juu.

Mimi sio mtaalam wa computer. Nipo field tofauti.

Dogo yupo advance anataka kujikita katika ishu za computer huko mbeleni at the university level.

Yupo vizuri upstairs ana akili nyingi sana.

Leo ameniuliza hilo swali nimebaki sina jibu la haraka haraka.
 
Computer science : Major Information systems and networking.
 
Wasi wasi wangu naona graduates wa computer science ni wengi mno
ukiwa na degree ya cs unaweza kuomba kazi yeyote ya IT; cybersecurity, network engineer, technician..... huwaga wanaweka uwe na angalau degree ya CS, ingawa CS wanafundishwa sana kuhusu software development,

ila akiamua anakua anajipigia hicho anachotaka kusoma online mwenyewe,
 
Mtaalam, hongera sana kwa madini.
Kama hautojali ningeomba ushushe madini on how to learn cybersecurity online.
Ni kitu imenivutia lakini kusema kweli siwezi kurudi darasani at this time.
 
mimi sio mtaalam ndo kwanza niko diploma ya CS,

nimeskia sana wataalam wenyewew wanatumia TryHackMe | Cyber Security Training kujifunza.... japo nahisi ni $10 kwa mwezi, fatilia sijui sana...
 
Nimesoma Computer Engineering UDOM, bado sijapata ajira lakini namshauri asome hiyo (Computer Engineering) inafiti sehemu nyingi kwenye ajira, pia Computer Science ni nzuri. Hizi kozi mbili unaweza kujiajiri vizuri tu kama utapenda unachokifanya, pia hizi kozi mbili zinakupa mwanga wakujua mambo mengi kwenye maswala ya kompyuta/TEHAMA.
 
ukiwa na degree ya cs unaweza kuomba kazi yeyote ya IT; cybersecurity, network engineer, technician..... huwaga wanaweka uwe na angalau degree ya CS, ingawa CS wanafundishwa sana kuhusu software development,

ila akiamua anakua anajipigia hicho anachotaka kusoma online mwenyewe,
Hii naona imekaa poa. Shukrani kwa good analysis!
 
Nimesoma Computer Engineering UDOM, bado sijapata ajira lakini namshauri asome hiyo (Computer Engineering) inafiti sehemu nyingi kwenye ajira, pia Computer Science ni nzuri. Hizi kozi mbili unaweza kujiajiri vizuri tu kama utapenda unachokifanya, pia hizi kozi mbili zinakupa mwanga wakujua mambo mengi kwenye maswala ya kompyuta/TEHAMA.
Ipi kati ya hizo ni nzuri hasa kwa binti?
 
Back
Top Bottom