Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

kwanza hongereni kwa kuhitimu kidato cha sita na kufauru kwa waliofauru. karibuni sana ktk ulimwengu wa wasomi..kwa bahati ambayo sio nzuri mmehitimu ktk kipindi ambacho muda mlioutumia shuleni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wadau Naomba msaada ni kozi gani ya UCHUMI ni nzuri kwa mtu wa EGM..??
1 Reactions
10 Replies
9K Views
tafadhari sana, naomba yoyote anayejua chuo cha private kinachodahili wanafunzi wa diploma ya shule ya msingi. aidha kwa sasa mwanangu yuko katika chuo cha ualimu cha private kinachotoa ngazi...
0 Reactions
15 Replies
14K Views
Shule ya sekondari Makumira inayopatikana maeneo ya Usa River jirani na chuo kikuu Makumira kimetapeli baadhi ya wanafunzi akiwemo ndugu yangu, walikua wanasoma hapo kama school candidates lakini...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
#Based_On_My_Experience As the clock ticks me off this merciless world, my head bulges to a point I'm afraid to keep on containing these emotions, ideas and thoughts that have all this time been...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavojieleza naomba msaada kuhusu ulipaji ada chuo cha udom yani unalipia kwa semester au unalipa yote kwa pamoja..... Natanguliza shukrani wakuu.
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Kwa masikitiko makubwa Naona AZANIA wapo Kati ya shule kumi zilizoshika mkia, sijui ni nini kimewapata hii shule hapo zamani ilitambulika Kama Kati ya shule bora Sana ya serikali. Post sent...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Hivi ni kwa nini chuo kikuu hamna tuition? Aisee napenda sana kuhudhuria vipindi vya tuition kuliko vya shuleni sijui itakuaje kwa kweli Shuleni mimi ni doja mzuri ila tuition ni mhudhuruaji...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Ivi course ya Bsc in petrolium chemistry ina soko jaman nataka niombe je mnanishauri vipi???????? Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama kuna kitu huwa kinaumiza vijana wengi wanaokua wememaliza elimu ya upili kwa upande wa sekondari mara baada ya matokeo kutoka huwa ni kujua atasoma nini, atasoma wapi na je anachotamani...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
The Secret Teacher: 'action short of strike' lets down students – we have to find a better way
0 Reactions
0 Replies
556 Views
Ha ha ha ngoja nisubirie jina langu chuo cha MUHAS chuo kinachoeleweka Tz. Wengine wanasubiri second selection ila bora hawa kuliko wanaosubiri diploma hawa ndio, tuliwashauri wasome wakawa...
2 Reactions
51 Replies
6K Views
Njoo kwimba elimu msingi nije morogoro wilaya yoyote.0754-384094 Post sent using JamiiForums mobile app
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Kutokana na website ya NECTA kuelemewa pata matokeo ya kidato cha sita na ualimu kupitia tovuti ya TAMISEMI Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017 | PORALG - Tanzania
2 Reactions
6 Replies
13K Views
Assalam alaykum, naomba kuuliza, nimesoma degree ya account. Je master land management nitaiweza? Na je ina calculation nyingi? Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimepata History E, Geography S na English D nishauri naweza soma coz gani Post sent using JamiiForums mobile app
1 Reactions
4 Replies
604 Views
kama kichwa cha habari kinavyosema hapo nimeona watu wengi wakipata shida kuangalia matokeo kwa kuwa link zinasumbua please fuateni link hii ni ya haraka mno ana hamtapata shida kabisa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nipo kwenye mtandao kabambe. Kwa wale wanaosumbuka, Nitajie jina la shule na namba yako nikupe matokea.
0 Reactions
91 Replies
23K Views
Amani iwe kwenu,naomba kuuliza ivi kuna course ya degree ya madawa kwa upande wa mifugo kama ilivyo pharmacy kwa upande wa binadam?na kama ipo chuo gani wanatoa,tafadhali naomba kufahamishwa kwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji kufahamu jinsi ya kuangalia top 10 ya wanafunzi waliofanya vizuri kwenye matokeo ya FORM 6.. au kama kuna mwenye hiyo link ya kuangalia naomba atume
0 Reactions
14 Replies
23K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…