Ili iweje ?Wakuu nahitaji kufahamu jinsi ya kuangalia top 10 ya wanafunzi waliofanya vizuri kwenye matokeo ya FORM 6.. au kama kuna mwenye hiyo link ya kuangalia naomba atume
GoodNatak kujua perfomance zao ktk kila somo & im sure kuna vitu nitajifunz kutok hpo
Ma boys wa siku hizi utozi mwingi kichwani maji