Makumira Secondary School ichunguzwe.

Makumira Secondary School ichunguzwe.

BlackBox

Senior Member
Joined
Nov 26, 2016
Posts
108
Reaction score
78
Shule ya sekondari Makumira inayopatikana maeneo ya Usa River jirani na chuo kikuu Makumira kimetapeli baadhi ya wanafunzi akiwemo ndugu yangu, walikua wanasoma hapo kama school candidates lakini ilipofika wakati wa usajili wakawasajili vijana hao( hasa wa michepuo ya science) kama private candidates.

Nimeshangazwa na hili hasa baada yakutaka kujua matokeo ya ndugu yangu huyo. Nilipojaribu kumuuliza kwanini hakulisema hilo mapema ameniambia walisisitizwa kwamba hakuna shida yoyote kupewa namba za private candidates. Wanajamvi nahitaji ushauri wenu namna yakushughulikia hili jambo kwa mamlaka zinazohusika.
 
Shule ya sekondari makumira inayopatikana maeneo ya Usa River jirani na chuo kikuu makumira kimetapeli baadhi ya wanafunzi akiwemo ndugu yangu, walikua wanasoma hapo kama school candidates lakini ilipofika wakati wa usajili wakawasajili vijana hao( hasa wa michepuo ya science) kama private candidates. Nimeshangazwa na hili hasa baada yakutaka kujua matokeo ya ndugu yangu huyo. Nilipojaribu kumuuliza kwanini hakulisema hilo mapema ameniambia walisisitizwa kwamba hakuna shida yoyote kupewa namba za private candidates. Wanajamvi nahitaji ushauri wenu namna yakushughulikia hili jambo kwa mamlaka zinazohusika.
hapo hata kama utashughulikia hilo jambo kwa issue ya mdogo wako tayar yameshamwagika
cha msingi we nenda kwa afisa elimu wa eneo hilo mueleze hilo kwa msaada wa watu wengine ili wasije wakafanyiwa jambo kama hilo
 
hapo hata kama utashughulikia hilo jambo kwa issue ya mdogo wako tayar yameshamwagika
cha msingi we nenda kwa afisa elimu wa eneo hilo mueleze hilo kwa msaada wa watu wengine ili wasije wakafanyiwa jambo kama hilo
Kweli ndugu yangu hapo kuwasaida wengine muhimu, nimesikitishwa sana na taasisi hizi ambazo zinaongozwa/kumilikiwa na baadhi ya makanisa kuharibu future za watu kwa kutumia uongo mkubwa kama huu ili kujificha kwenye kichaka cha kufanya vizuri kwenye matokeo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom