Msaada wa mawazo

Msaada wa mawazo

FezzyJoe

Senior Member
Joined
Jun 2, 2017
Posts
116
Reaction score
48
Nimepata History E, Geography S na English D nishauri naweza soma coz gani

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hizi siredi zitakua nyingi sana humu jf.. ndo msimu wake..
Mimi nakushauri kajifunze cherehani hizo marks huendi popote. Hata veta hawakuchukui
 
Mdogo wangu huu ndio muda wa kuanza kuulizia vile vyuo unasikiaga wanatangaza kwenye tv.

Mfano utalii, the amazon, zion, veta na kadhalika.
 
Back
Top Bottom