fh kwenye beat
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 494
- 613
Kama kichwa cha habari kinavojieleza naomba msaada kuhusu ulipaji ada chuo cha udom yani unalipia kwa semester au unalipa yote kwa pamoja..... Natanguliza shukrani wakuu.
Asante mkuuChaguo n lako weng hulipa kwa semista due to ukata lakn kama upo biyee lipo full vyote vnaruhusiwaa
Kuna jamaa yupo pale nimemuuliza kasema full nikapata wasiwasi naona cjui kisa anak mkopo 100% naona hayo mambo hajafatiliaChaguo n lako weng hulipa kwa semista due to ukata lakn kama upo biyee lipo full vyote vnaruhusiwaa
Kama kichwa cha habari kinavojieleza naomba msaada kuhusu ulipaji ada chuo cha udom yani unalipia kwa semester au unalipa yote kwa pamoja..... Natanguliza shukrani wakuu.
Kuwa makini mkuu,kwani unaweza ukadisco katikati ya muhula au semester kweli?ukilipa full ukadisco au ukafukuzwa chuo kutokana na sababu yoyote hela yako imeenda na maji, ingawa sikuombei ufukuzwe lakini hayo yapo
ada zina range ngapi mpaka ngapiChaguo n lako weng hulipa kwa semista due to ukata lakn kama upo biyee lipo full vyote vnaruhusiwaa
Mtindo wa kudisco kwa semistaukilipa full ukadisco au ukafukuzwa chuo kutokana na sababu yoyote hela yako imeenda na maji, ingawa sikuombei ufukuzwe lakini hayo yapo
Kuwa makini mkuu,kwani unaweza ukadisco katikati ya muhula au semester kweli?
hapo sawa nlitaka kushangaa kam kuna hiyo system aseh.Mtindo wa kudisco kwa semista
imefutwa, kwa sasa ni kwa mwaka mzima wa masomo. Yaani semista zote mbili za mwaka mmoja.
Mtindo wa kudisco kwa semista
imefutwa, kwa sasa ni kwa mwaka mzima wa masomo. Yaani semista zote mbili za mwaka mmoja.
Ndiyo. Ila sio kudisco kwa kufeli. Unaweza kudisco kutokana makosa mbalimbali kwa mfano ukikamatwa mwizi, ukicheat test na ukanaswa na makosa kadha wa kadha.Kuwa makini mkuu,kwani unaweza ukadisco katikati ya muhula au semester kweli?