Kuna kozi ya madawa kwa upande wa mifugo?

26 number

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2016
Posts
337
Reaction score
133
Amani iwe kwenu,naomba kuuliza ivi kuna course ya degree ya madawa kwa upande wa mifugo kama ilivyo pharmacy kwa upande wa binadam?na kama ipo chuo gani wanatoa,tafadhali naomba kufahamishwa kwa anaejua,

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kajaribu kuulizia SUA sanasana
 
Kwa Tanzania ukijumuisha na SUA hakuna.
Kajaribu kuulizia SUA sanasana
 
Amani iwe kwenu,naomba kuuliza ivi kuna course ya degree ya madawa kwa upande wa mifugo kama ilivyo pharmacy kwa upande wa binadam?na kama ipo chuo gani wanatoa,tafadhali naomba kufahamishwa kwa anaejua,

Post sent using JamiiForums mobile app
IPO sua inaitwa veterinary medicine

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Amani iwe kwenu,naomba kuuliza ivi kuna course ya degree ya madawa kwa upande wa mifugo kama ilivyo pharmacy kwa upande wa binadam?na kama ipo chuo gani wanatoa,tafadhali naomba kufahamishwa kwa anaejua,

Post sent using JamiiForums mobile app

Mfamasia anahusika na both human and veterinary medicine

Wana kozi inaitwa veterinary pharmacy huwa wanaisoma mwaka wa tatu
 
Back
Top Bottom