Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

mimi ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka jana nimesoma masomo ya art lakini nahitaji kusomea information technology,je naweza nikasomea ikiwa mimi ni mwana arts
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Wazazi wamestuka, Vijana wametuka, zama zimebadilika, Kwa upepo ulivyo Advance inaenda kupoteza thamani yake, yaweza kugeuka kuwa kapu la taka kwa wanafunzi wanaokosa vyuo. watu wamepima mzani...
1 Reactions
3 Replies
687 Views
Anonymous
Naomba mamlaka zinazoshughulika na elimu kuanzia Afisa elimu jiji LA Dar es salaam, Afisa elimu mkoa wa Dar es salaam na Waziri wa elimu, mtupatie majibu sahihi ya hiki kinachofanyika Dar es...
0 Reactions
2 Replies
479 Views
Wadau naomba msaada wenu wa kujua tofauti kati ya higher diploma na advance diploma maana hapo awali sikuwahi kusikia kitu kinaitwa higher diploma hapa Tanzania bali advance diploma. Natanguliza...
0 Reactions
19 Replies
51K Views
Dunia imeamia kwenye Technology na digital transformation. Hata kwa upande wa Afya tujiandae. Sehemu ambayo tulikuwa tunahitaji 10 doctors tutahitaji only two, 15 nurses tutahitaji only 5 , 10...
28 Reactions
119 Replies
5K Views
Naombeni msaada wa kupewa ushauri Binti yangu kamaliza mwaka jana form four; matokeo yake yametoka mwaka huu, kapata Divion one ya point 9 Matokeo ya masomo yake MATH A, BIOLOGY A ENGLISH A...
3 Reactions
16 Replies
828 Views
Anonymous
Tangu mahafali ya Chuo Kikuu Mzumbe (ndaki kuu) ifanyike tarehe 24/11/2024 mpaka leo tarehe 17/12/2024 chuo kimeshindwa kuwapatia wahitimu vyeti vyao na kila tunapofuatilia majibu yamekuwa...
2 Reactions
3 Replies
606 Views
Chuo cha CBE kimezuia wanafunzi kufanya mtihani wa mwisho kwa sababu hawana bima. Hii haipo sawa kwani hawajaweka utaratibu sahihi wa kupata hizo BIMA naomba waruhusu wanafunzi tufanye mitihani...
0 Reactions
1 Replies
408 Views
Binafsi naona tunaishi kwenye Nchi ambacho hata ukiulizwa utaje shule zilizoko wilaya uliyotoka huwezi kuzijua; Nashauri; Kuwe na ukurasa (Data base) ukiingia unapata Shule zote kwa kila mkoa na...
2 Reactions
3 Replies
438 Views
Eti wadau huyu ataajiriwa kweli au aendelee na mambo mengne?
3 Reactions
58 Replies
8K Views
Anonymous
SUALA LA VYETI. Utaratibu ambao umewekwa na vyuo vya kati na sera zao unatakiwa kuchunguzwa na kufanyiwa maboresho, hasa VETA. Haiwezekani mtu amalize chuo na matokeo yatoke halafu akae mwaka...
1 Reactions
0 Replies
223 Views
Anonymous
Shida kama haikupati hutaona ukubwa wake. Loan board hawatoi fedha za kujikimu kwa wakati. Wazazi wakishaona tumepata mkopo unakuwa umewatua mzigo na wanajitoa kwenye kukupatia fedha za...
2 Reactions
5 Replies
620 Views
Maisha ya chuo/college yanahitaji kujipanga ili kukabiliana na changamoto, kama wahenga wanavyosema changamoto ni kipimo cha akili. Miongoni mwa changamoto hizo ni chakula na...
6 Reactions
6 Replies
891 Views
Wakuu wasalaam. Mimi ni mwalimu idara msingi mwaka wa 5 huu kazini. Kutokana na changamoto za kazi yetu hii nimewaza kujiendeleza kwani sihitaji kubaki hapa nilipo. Niliwaza kwenda ngazi ya...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Tunawaona wahitimu wengi sana wakibaki majumbani au kwenda kwa dada zao walioolewa baada ya kuhitimu. Speaking from experience vijana wengi baada ya kumaliza chuo huanza kuomba ajira bila...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari wanajamiiforum naomba kujua kwa aliye fuatilia alison online couse,faida yake kwa hapa Tanzania niipi? https://alison.com/
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Ushauri wa hizi kozi tatu za kusomea wadogo zetu Waliopata DD Tano FORM FOUR ipi ina uwanda mpanda Na vitu gan vya msingi aandae mapema akitaka kuomba Kuanza Kusomea CERTIFICATE 1.HUMAN...
4 Reactions
5 Replies
569 Views
Habari wanaJF. Naomba kujua hivi proposal presentation inakuwaga na marks ngapi kiujumla? au marks huwa zinawekwa kwenye dissertation kwa ujumla na sio proposal peke yake, namaanisha marks...
1 Reactions
9 Replies
714 Views
Kwa yeyote aliye mwalimu au mwenye kujua kuhusu mikopo kwa waalimu naomba kuuliza... Je, inawezekana kukopeshwa pesa ndefu(about 60M-80M) kutoka benki(kwa udhamini wa mwajiri na mshahara ) ikiwa...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Wadau habari za majukumu ya kila siku? samahani napenda sana kusoma online hasa kwenye website mbalimbali lakini sasa nataka nianze kusoma course zinazotolewa na free websites kwa ajili ya kujinoa...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…