Habari wanajamiiforum naomba kujua kwa aliye fuatilia alison online couse,faida yake kwa hapa Tanzania niipi?
https://alison.com/
https://alison.com/
Na vipi kuhusu nchi yetu ina weza kuzitambua kweli au ni kwaajiri ya Faida ya mtuKuna kozi nilisima humo, ni recorded lectures na pia notes kwa kila module. Mwishoni ndio kulikuwa na assignment na ili kufaulu ilihitaji kupata 80%. Vyeti ndio wanauza vikiwa framed na pia as PDF
OkFaida yako zaidi sector binafsi...
Inapamba CV na kuongeza ujuzi piaNa vipi kuhusu nchi yetu ina weza kuzitambua kweli au ni kwaajiri ya Faida ya mtu
Sawa ngoja nisome sasaInapamba CV na kuongeza ujuzi pia