Ukipita njiani utakuta kuna barabara zinajengwa na watu kutoka mataifa mbalimbali, hasahasa toka uchinaa na Japan. Kwenye miradi hii utawakuta watanzania wawili watatu wenye degree, wengine...
kama kichwa kinavyosema
nimedahiliwa udom "bachelor of Software Engineering "
pamoja na ARDHI "bachelor of science in Geomatics " jamani niende ipi apo
chondechonde naomba ushauri wako ndugu yangu
"My name is Sir Chichi, I will be with you in English and History. I need your cooperation, thenk yuu
pwaa pwaaaaa." (makofi)
Najua ndo nakoelekea huko! usinishangae!! sijapenda kuanza mazoezi ya...
Wakuu kati ya BBA (Bachelor in Business Administration) MWENGE UNIVERSITY na Bachelor of science in taxation IFM ipi ni sawa, bora na marketable kwa usawa huu.
Habari za weekend wanajamvi. Kama mada inavyojieleza naomba ufafanuzi wa kina juu ya nadharia zifutazo za sintaksia:_
1.Nadharia ya ukuu na umiliki (government & binding theory).
2.Nadharia ya...
Nilihtaji kwenda chuo cha hombolo kusomea social development na kwa sasa nmeshachelewa, kwako wazo langu jipya nichukue certificate ya record management chuo cha mwalim nyerere alaf nkipata hiyo...
Najua wengi wetu tuna expirience kubwa na tunakumbukumbu za ajabu na za kuchekesha sanaa, wakati tunaelekea kufanya mitihani ya form four enzi zile, siku za kabla ya mitihani, wakati wa mitihani...
Wanajamvi, naomba kuuliza, hivi kupima au kujua Chuo kuwa ni bora kielimu au pagumu tunatumia kigezo cha idadi ya wanafunzi wanaokuwa discontinued kutokana na academic performance au kinatumika...
Wakuu naomba kujuzwa ,mimi nataka kufahamu iwapo mtu umehitimu form IV na matokeo yako yanakuruhusu kwenda Advance na ukaaamua usiende advance na uende chuo ,jee Unaweza / unaruhusiwa kuanza...
Kufuatia kauli ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Joyce Ndalichako aliwa Bungeni leo na baadae Wizara kutoa tamko rasmi kuwa haiitambui taasis ya Tanzania Social Support Foundation (TSSF)...
Hey, habari zenu ndg zangu, sorry naomba msaada kwa hili.
Nimesoma nurse midwives (enrolled nurse) na nataka niingie JKT, sasa tatzo vyeti vyangu bado viko chuoni nadaiwa wakuu vya utaalamu...
Naomba kwa yeyote anayeweza kunisaidia sehemu ambayo naweza kupata ufafanuzi wa jinsi ya kusoma Masomo ya CERTIFIED FRAUD EXAMINE(CFE) afanye hivyo.Kwa kweli nina uhitaji mkubwa sana na habari...
Habarini wana jf! naomba kujua ni jinsi gani naapply kwa mikopo ya tssf, nimengi yamezungumzwa ila nimeamua kuchukua hii risk, tafadhari anaomba msaada wa jinsi ya kuapply maana mfumo huu ni mpya...
Kumradhi wanajamvi naomba msaada wa kimaelezo kuhusu shule hii has kwa upande wa nursery & primary.
Naomba kujua Ada yake kwa Boarding na kama wanafata mtaala wa NECTA au Cambridge,
Habari Wana Jamvi..
Uzi huu ni mahususi Kwa waombaji walioomba mkopo Toka bodi ya MIKOPO Kama Wanachuo wanaoendelea..
Bodi ya mikopo imetangaza batch kama Tatu na zote zilikua za waombaji...