Naomba kwa yeyote anayeweza kunisaidia sehemu ambayo naweza kupata ufafanuzi wa jinsi ya kusoma Masomo ya CERTIFIED FRAUD EXAMINE(CFE) afanye hivyo.Kwa kweli nina uhitaji mkubwa sana na habari hizi na natanguliza Shukrani zangu kwa wote watakaonisaidia kupata taarifa za Kozi hii.