Naomba kujua procedures za kuomba mkopo kutoka tssf

loulla

Senior Member
Jun 11, 2016
122
225
Habarini wana jf! naomba kujua ni jinsi gani naapply kwa mikopo ya tssf, nimengi yamezungumzwa ila nimeamua kuchukua hii risk, tafadhari anaomba msaada wa jinsi ya kuapply maana mfumo huu ni mpya sana kwangu, sijui chochote. asanteni.
 
PaulSweke

Member
Jun 15, 2016
36
95
Ofisi ya msajili wa mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) imesimamisha shughuli za Shirika la Tanzania Social Support Foundation (TSSF) kuanzia tarehe 14/11/2017 ili kupisha uchunguzi.
Taarifa ya ofisi hiyo imesema kuwa serikali inafanya uchunguzi juu ya tuhuma zinazolikabili shirika hilo za kutapeli watu mbalimbali nchini kwa kisingizio cha kuwapatia mikopo kwa ajili ya elimu ya juu kitendo ambacho ni kosa kwa mujibu wa sheria.
Aidha serikali imeagiza kusimamishwa kwa shughuli zote za shirika hilo ikiwa ni pamoja na kufunga ofisi zote za shirika hadi uchunguzi utakapokamilika.
Viongozi wa shirika hilo wameagizwa kufika katika Ofisi ya msajili mara moja wakiwa na nyaraka halisi za usajili wa Shirika ambavyo ni Cheti na Katiba kabla ya hatua zaidi kuchukuliwa.
 
ohhooo! asante
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom