Nifanyeje ili JKT wajue nimesoma?

pol dauda

Senior Member
Sep 21, 2017
127
45
Hey, habari zenu ndg zangu, sorry naomba msaada kwa hili.

Nimesoma nurse midwives (enrolled nurse) na nataka niingie JKT, sasa tatzo vyeti vyangu bado viko chuoni nadaiwa wakuu vya utaalamu.

Je?nitaambatanisha vipi ili waamini kuwa nimesomea na nina ujuzi huo ?!! Ila vyeti vingne ninavyo, nilitaman kuambatanisha copies za hiyo proffesional.

Msaada jamani karibuni
Ahsante
 
Huna hata result trancript? The
Haah!!
Tusimdanganye huyu ndugu kule hawana masihala kabisa nilibebana na vyeti vyangu mwaka flani kwenda kwenye mafunzo JKT ni kabeba mpaka cheti cha ubatizo cha kushangaza nilikaguliwa mm badala ya vyeti uchura matusi masimango anyway aende navyo Tu mm simo
 
Mkuu Avatar yako na maneno yako ni vituko, sasa cheti cha ubatizo ulijua kuna kipaimara.?
 
Back
Top Bottom