Naomba kufahamishwa, inawezekana kusoma diploma ya social devt nikiwa na certificate ya records mgt?

luqresha

Member
Nov 15, 2017
7
3
Nilihtaji kwenda chuo cha hombolo kusomea social development na kwa sasa nmeshachelewa, kwako wazo langu jipya nichukue certificate ya record management chuo cha mwalim nyerere alaf nkipata hiyo certificate mwakan nchukue dplm ya hiyo social dvlp hombolo je inawezekana?
 
Kwanini unataka uchukue certificate ya records management wakati lengo lako ni kujikita kwenye social development? Kama Mwl. Nyerere wanatoa certificate ya social development, anza nayo kisha mwakani utaendelea na diploma.
 
Hawatoi, vyuo vinavotoa wanasoka kuanzia mwez wa kumi na mm nshachelewa usail kwa mwakan huu, kwaio record mngmen nachukua tu ili kuokoa muda then mwakan niendelee nadplm ya social dvlp kama inawezekana
 
Back
Top Bottom