Wakuu nawasalimu kwa jina la Mweyenyezi Mungu.
Nilipambana mpaka nikapata uhamisho ili niwe karibu na familia yangu. Lakini matarajio yangu yamekuwa kinyume. Nimeripot halmashauri afisa elim...
Chinua Achebe is considered the father of African literature in English, the writer who 'opened the magic casements of African fiction' for an international readership. Following the 50th...
Anatia huruma sana huyu mama, uso umekuwa mdogo kama Nukta sasa hivi, anatamani abadilishie gia hewani lkn anaangalia kushoto na kulia anaona haiwezekani na kwahiyo anaamue afe na Tai Shingoni...
Mimi ni mwanachuo kutoka chuo kikuu cha mliman na ninasoma B.com in tourism and hospitality management ila toka imekuja chuon kutoka kigoma wazazi wangu hawajawahi kuniuliza maendeleo yangu ya...
Habari zenu jukwaani.
Ktk kipindi cha mjadala jumatano jioni tarehe 10/01/2018, BBC radio walimulika mapenzi ktk vyuo vikuu baina ya wahadhiri wa kiume na mabinti wanafunzi.
Watu walitiririka...
Ukipitia hii syllabus ni nzuri sana imejaa topics ambazo kama kweli zingefundishwa kwa vijana wetu, wengi wao wangemaliza elimu ya kidato cha nne wakiwa na maarifa ya kutosha kuweza kujitegemea na...
Juzi kuna mdau alileta mada yenye kichwa cha habari kinachosomeka hivi Msitulaumu watu wa Lindi, Mtwara, Zanzibar, Tanga na Pwani kwamba tunafeli! Sababu ni hizi
Kwa sasa Inasemekana kuwa Afisa...
Habarini za jioni wana jamiiforums, kwanini hawa NACTE huchelewesha utoaji vyeti na hati za matokeo, uhakiki wa tuzo ni tatizo huchukua muda mrefu, au kuwaambia wanafunzi wafuate matokeo badala...
Nimekuwa nikifatilia matokeo ya mitihani ya Kitaifa especially kidato cha nne na kidato cha sita.
Hoja yangu ni kwanini wazanzibari na shule za uko ndo huongoza kushika namba za mwisho wakati...
Kulingana na utafiti uliofanywa na shirika la HakiElimu (2017) juu Matokeo ya Utekelezaji wa Sera ya Elimu bila Ada kwa Elimumsingi nchini Tanzania umebaini kuwa uelewa wa wananchi kuhusu sera ya...
Habari zenu wana Jf,
Mdogo wangu wa kike Amefaulu kidato Cha nne kwa kiwango Cha Div IV ya point 26 na hajafanya vizuri Kwenye masomo ya sayansi. Nataka nimtafutie chuo Cha biashara kwa ngazi ya...
Kwa wale vijana tuliosoma secondary hapa dar hebu tukutane hapa na kujikumbushia haya yafuatayo MIAKA 95 HADI 2005
KIPINDI HIKI
1.Shule ya azania , pugu na tambaza zilikuwa zinajulikana...
Eti mikopo kwa wanafunzi wa Diploma itaanza kutolewa mwaka huu? Na vipi kuhusu sisi tuliopitia PC kwa CSEE, tunaweza pata mikopo? Na PC wa ACSEE eti chuo wanapata mikopo?
Somo la hapo juu lahusika.
Wadau naomba msaada wa kujuzwa Shule ya Sekondari ya Binafsi (nzuri) yenye kufundisha mchepuo wa ECA ikiwa ya wasichana watupu itapendeza lakini hata kama ni...