ICT ni extension ya IT inayodeal na communications
Mfano mashine ya ATM...mtu anapochomeka Card ile mashine huwasiliana na server ili kupata taarifa za hiyo card hiyo ni kazi ya IT
Wakati mtumiaji anatumia mashine ni lazima aekewe mfumo ambao ni rafiki kwake ambao utamsaidia kutimiza matwake yake hiyo ni kazi ya ICT
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.