Juzi kuna mdau alileta mada yenye kichwa cha habari kinachosomeka hivi Msitulaumu watu wa Lindi, Mtwara, Zanzibar, Tanga na Pwani kwamba tunafeli! Sababu ni hizi
Kwa sasa Inasemekana kuwa Afisa elimu wilaya ya Nanyamba Mkoani Mtwara amewataka walimu wa sekondari zilizopo wilayani mwake kujieleza ni kwanini wasichukuliwe hatua kutokana na matokeo yasiyoridhisha katika mitihani ya Taifa iliyofanyika Mwishoni mwaka jana.
Ikumbukwe kuwa Mkoa wa Mtwara umeshika nafasi ya 20 kati ya mikoa 31 katika Mitihani ya kidato cha nne mwaka jana na Wilaya ya Nanyamba imeshika nafasi ya 187 ya Halimashauri 195 nchini.Pia katika mitihani ya kidato cha pili Mkoa wa Mtwara umeshika nafasi ya 26 kati ya 26 Nchini.
Vipi huko uliko? Ni hatua gani iliyochukuliwa mpaka sasa kuboresha elimu?
Tuipe support serikali ya nini kifanyike ili kuboresha elimu yetu.
My take:Serikali ifanye utafiti wa kina nini kinasababisha matoteo yasiyoridhisha kwa mikoa hii kuliko kuwaweka walimu katika taharuki.