Somo la hapo juu lahusika.
Wadau naomba msaada wa kujuzwa Shule ya Sekondari ya Binafsi (nzuri) yenye kufundisha mchepuo wa ECA ikiwa ya wasichana watupu itapendeza lakini hata kama ni mchanganyiko potelea mbali cha muhimu ni kufundishwa vizuri.
Natanguliza shukrai zangu za dhati,
Wenu katika ujenzi wa taifa letu changa,
NAHUJA