Jaman naombeni taarifa za chuo cha nursing cha St. Glory sababu za kufungiwa na hatima ya wanafunzi

chuo kipo dsm kimara mwisho nadhani icho chuo si mara ya kwanza kuzuiliwa kufanya udahili wa wanafunzi nakumbuka kuna muda fulani tena kilifungiwa then wakakiruhusu unajua zipo sababu nyingi ambazo zinafanya chuo kuzuiliwa kufanya udahili ikiwemo miundo mbinu mibovu kwa mfano malecture utakuta hawana sifa kua waalimu eti mtu ana diploma anamfundisha diploma mwenzie si sahih kabxa afu utakuta chuo kinaitwa cha afya wakati ata dispensary hakina hicho sio chuo aic pia mtu hana qualifications za kusomea koz husika wanamchukua huo sio uzalendo watatuharibia uhai wetu . .Naenda moja kwa moja kwenye jibu la swali lako kuhusu continues students hilo halina effects zozote kama wanaqulified kusomea koz husika ila kwa watakao fanya application saiv ndo wasiombe icho chuo nadhani umenielewa
 
Hatima y wanafunzi hilo halina shaka wanaweza kuhamishwa kwenye chuo kingine au wizara ikatoa notes waendelee hapo till wamalize mitihani yao....Nayazungumza haya nikiwa n evidence maana na mimi yalinikuta kma hayo nilipokuwa napiga zangu CA
 
Back
Top Bottom