msaada wa uhamisho kwenda Bwiru Boys | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa uhamisho kwenda Bwiru Boys

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by opportunist2012, May 8, 2012.

 1. o

  opportunist2012 Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mdogo wangu amechaguliwa form V shule moja mkoani Kagera ila anapenda kuhamia Bwiru Boys comb ya PCB.Kuna mtu anaweza akanipa msaada wa mawazo ili niweze kupata nafasi ya kumuhamisha Bwiru Boys?
   
 2. A

  Aaron JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 2,122
  Likes Received: 2,721
  Trophy Points: 280
  dah! pale bwiru boys nenda uongee na headmaster anaweza kukubalia.... akisumbua pitia kwa second master yuko kishikaji sana... Ila andaa chochote usiogope nafasi utapata...
   
 3. o

  opportunist2012 Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ahsante kwa ushauri wako
   
Loading...