Y
WARAKA WA WANAFUNZI WA ELIMU JUUKWA SERIKALI KUHUSU MIGOMO NA MAANDAMANOYA MARA KWAMARA VYUO VIKUU HAPA NCHINI.
Tunapenda kuchukua fulsa hii kwanzakuomba msamaha na...
Habari za saizi
Nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana, amefanikiwa kupata division two, yeye anataka akasome diploma ya physiotherapy na ili asiende advance anasema itakuwa ngumu...
Mwalimu mmoja, idara msingi anataka kutorka kazini aende masomon kuchukua shahada baada yakuomba ruhusa nakunyimwa na mkuu wa idara wakati kuna wengne wanamwaka mmoja kazini lkn wanapewa ruhusa ya...
Wakuu habari.
Mwanangu ameingia class 4 mwaka huu. Ila shule aliyopo imekuwa na mwenendo mbaya, kiasi kwamba kwa mwaka 2023 na 2024 wazazi wanaojitambua wamehamisha sana watoto wao. Sasa huyu wa...
Nilikuwa naelezea moja ya tatizo lililokuwepo pale OPEN University of Tanzania, supervisors (wasimamizi) wengi wa chuo hicho wana utaratibu mbovu katika kusimamia kazi za tafiti (research) kwa...
Nimezoea kuona watu kwenye field ya Academia wakiwa wanapata promotion ya kutoka Udokta na kuwa Associate Professor ambapo baadae atakuwa Full Professor.
Vigezo ambavyo nimezoea kuviona...
Wakuu Baada ya msoto wa miaka kadhaa bila michongo inayoeleweka
Nimeamua kuweka pembeni vyeti vyangu vyangu.
Sasa wakuu naomba msaada nitapata wapi Chuo kizuri wanachofundisha focal lift?
Ada...
Kichwa cha habari kimetosha kuelezea,kiufupi niko sehem napiga chaki kama mpumbavu kwa miaka 28 .
Nataka badili kada no matter what kwani vigezo vyote vya kupata chuo ninavo
Calvin Marambo mhitimu wa Ilboru sec 2014 ambaye alipata scholarship havard university kwa sasa anafanya kazi kwa bilgate na ni marafiki wakubwa ,wazungu wanamkubali sana pesa nje nje kwa sasa.
Naomba msaada wa mawasiliano kwa mwanafunzi anayesoma ST JOSEPH UNIVERSITY OF TANZANIA kwa kozi ya computer science, anicheki dm kuna kitu naomba anisaidie
Natanguliza shukrani
CAREER SPECIALIZATION, PROFESSIONAL GROWTH, AND MARKET VALUE
The world has changed significantly, and no one will value your education (profession) alone. Employers today do not hire based solely...
Wakuu nakuja kwenu kuomba msaada wa jinsi ya kujiunga na chuo cha SHERIA, LAW SCHOOL OF TZ. Mambo ninayohitaji kuyafaamu ni
1. Kama naweza kusoma online
2. Gharama za kujiunga, ada na mahitaji...
Introduction
Education is the heartbeat of a nation’s progress. It is the foundation upon which we build our economy, empower our citizens, and shape our future. In Tanzania, both public and...
Hawa mapacha Daniel na Zakayo walisumbua sana hapo St Joseph Millennium mpaka pale alipohamia Simon Mbangalukela na kusambaratisha utawala wao japo haikuwa kizembe.
Mbanga alikuwa anajua sana ila...