Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari zenu wadau,nimeona katika forum hii watu hupata ushauri mzuri kuhusu matokeo yao na vitu gani wasome,na mimi naombeni msaada wenu tafadhali katika hili. Kuna rafiki yangu amemaliza kidato...
0 Reactions
23 Replies
20K Views
dogo langu amepata 1.8 PCB anataka kusoma MD. Atapata chuo?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Taarifa kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita,wengine wanaotaka kujiunga na ngazi mbali mbali za elimu ie.Certificate,diploma,undergraduate na postgraduate. Kuna maonyesho ya tume ya vyuo...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
HABARI ZENU TUNATAFUTA MTU/WATU AMBAO WATATUPATIA NOTES NZURI SANA ZA MASOMO YOTE YA SEKONDARI NA PRIMARY(primary class 1-7, o level na a level) NOTES HIZO ZINATAKA KUCHAPISHWA KWENYE WEBSITE...
0 Reactions
0 Replies
564 Views
Hivi no vixuri Ku apply vyuo vingapi kma MTU ana division 2 ya 10 comb HGeconomic.... Na chuo kipi
0 Reactions
4 Replies
800 Views
In today’s technologically oriented economy, it’s no surprise that employees with strong computer skills fare better in the job market than their tech challenged counterparts. This trend...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilikuwa napitia tuuu baada ya machungu ya kukosa ajira ya ualimu nikajaribu kupitia walimu walioajiriwa wa mwaka 2016 na kisha nikapitia wa mwaka 2017. Nilianza na waalimu waliomaliza 2016 ni...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu ,ninaomba maelezo kuhusu shule hii ( kama kuna walimu wa kutosha ,mazingira yake ,hostej,ufaulu wa shule) inshort mazuri na mabaya asanteni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Vyuo vinavyotoa degree ya ECE hapa Tanzania ni pamoja na TUMAINI MAKUMIRA UDSM UDOM AGAKHAN vingine ongeza,, 5. 6. 7.
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Wasalaam, Nimepewa kazi na mzazi wa kijana mmoja kuwa nimshauri kijana wake achague kozi na chuo anachoweza kupata shahada.Kiukweli mimi ni mzoefu kwenye kada za Sayansi(Mhandisi) sasa imeniwia...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau naombeni kupewa utundu na marifa hapa,ukiandika sms kwa sim ndogo unaweza kuandika mpka pages 5 kwa baadhi ya sim lakini sms hiyo hiyo ukiituma kwenye simu za smart inaingia ndefu sana...
2 Reactions
30 Replies
7K Views
Mimi ni miongon mwa wanafunz niliomaliza kdato cha sita sasa nilikuwa naomba mnisaidie nahitaj kuchukua geography na mathematics chuo sa bdo cjajua faculty ya kuchukua na chuo cha kwenda kusoma...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Deleted member 485868
Habari za mchana wanafamilia Naomba mnisaidie Chuo kipi hapa Tanzania kinachotoa course ya interior&exterior design.. Anaefahamu naomba kujuzwa Tafadhali. Ahsanteni na mchana mwema.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wana JF naomba mwenyewe kufahamu chuo kinachotoa mafunzo ya kozi ya HIV/AIDs cancelling kinachopatika DSMs . Mm nimehitimu kidato cha 4 na nilisoma masomo ya sayansi.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wakuu Natumaini kuna watangulizi hapa ndani waoweza kunipa mwanga kidogo kuhusu programs mbalimbali ktk kada ya afya, matokea yangu ya O-level nilipata div 1 huku physics B, chem A na bios...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wapendwa Wahitimu Kidato cha Sita 2018, Kwa Heshima kubwa, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kinawapongeza sana kwa kuhitimu masomo yenu na kufuzu vizuri kupitia matokeo ya mtihani yaliyotangazwa...
2 Reactions
0 Replies
5K Views
habari wadau naomba mnisaidie kuhusu hiyo course wanao ijua vizuri nataka nikaisome pale chuo cha ushirika ushauri wenu jamani
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wahitimu wengi wamekuwa na ukakasi juu ya course ipi wasomee kutokana na matokeo waliyopata ,lakini njia nzuri ya kuchagua course sahihi ya kusomea ni kufikiri kitu gani unakipenda na ndiyo ndoto...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Wakuu kwa niaba ya wengi Ningependa Mnifahamishe Chuo kizuri hapa tanzania ambacho kinatoa koz za Computer application na wana walimu wazur ada inakuwaje kwa mwaka nk.
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Miaka ile hakuna kitu kilikuwa cha mshtuko kama usikie matokeo. Matokeo yakitangazwa lazima siku mbili tatu uskie wawili watatu wamejinyonga mwingine mara kanywa sumu. Ila sa hivi hata hupati...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…