Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Amani iwe nanyi wahitimu wa kidato cha sita Kwa mwaka huu 2018/2019. Napenda kuwapongeza Kwa ufaulu mzuri na matokeo bora,Hongereni Sana. Napenda kutumia jukwaa hili kuwaalika vijana wote...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi kwa waliomaliza miaka iliyopita form 4 mwaka huu wanaweza omba kozi Za afya serikalini maana sijaona Kikomo cha mwaka
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nisaidieni kujua tofauti ya bachelor science in business communication and information technology na bachelor science in information technology na ipi ni nzuri kuisomea ambayo ukimaliza ita kupa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati wa utawala wa awamu ya nne mtakumbuka ilifikia hatuwa watu wakawa wanasema vyuo vinamea na kushamiri kama uyoga lakini kupitia utaratibu mpya wa applicants kutuma maombi moja kwa moja...
0 Reactions
36 Replies
9K Views
Moja kwa moja kwenye mada Nakumbuka nikiwa shule ya msingi miaka hyo ya 1999,ilikuwa baada ya mitihani ya kumaliza muhula tulikuwa tunaambiwa tulete sanaa zetu tulizo buni kwa lengo la kuongezewa...
0 Reactions
3 Replies
801 Views
Wakuu hii faculty inahusu nini?? Na applications zake ni wapi?? Ninaomba ufafanuzi kidogo kwa anayeifahamu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama kuna ambaye anaweza kusaidia anipe mwongozo. Nahitaji kujua nchi ambayo kwa matokeo hayo anaweza kusoma udaktari MD
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Nilikuwa natafuta syllabus za kidato cha tano na sita Tanzania na nikafanikiwa kuzipata katika mtandao wa baraza la mitihani-NECTA. Lakini nimekutaza na katazo hili: "All rights reserved. No part...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimeikuta hii sehemu na kunishangaza, mtu anawezaje kununua kitabu kisichokuwa na maandishi ndani yake. Je! Ni jina la kitabu ndio liliowavutia wengi? Je! Ni mwandishi wa kitabu?
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Wasaalamu WanaJF!.. Ninaomba Msaada wa mawazo yenu katika Concept hii: "Capitalism Ideology in Tanzania Today" Nawasilisha!
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Baraza la mitihani nchini(NECTA)limetangaza Matokeo ya kidato Cha sita ambapo shule ya sekondari Kibaha imeongoza. ==== Baraza la Mitihani nchini (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato...
9 Reactions
196 Replies
41K Views
habari zenu wadau wa jukwaa hili.natumaini ni wazima Naombeni kusaidiwa ghalama za kufanya IELTS na center zao.nimekosa bahati kama mbili hivi za masomo nje ya nchi kwa kukosa IELTS certificate...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
mwenye kujua kama matokeo ya kidato 2 yametoka atuelekeze tovuti iliyo na matokeo hayo
0 Reactions
5 Replies
22K Views
Hakuna kitu kinaumiza kama kufanya jambo ambalo nafsi yako haifurahii, Kama wewe ukiona damu tu kizunguzungu kwa nini uchague MD? Kama wewe macho yako mabovu ya nini ujitese kusoma Computer...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wale ambao wamehitumu diploma mwaka 2018 ningependa tujuzane wamefikia wapi katika kuomba AVN binafi nimehitimu mwaka huu ila ktk kufnya application iyo ya AVN nikifika katika hatua ya...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kwa waliowahi kusoma chuo kozi ya clinical medicine, Ada yake inalipwa mara ngapi kwa mwaka?
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Wakuu hv naeza kufanya kitu kusoma masters na g.p.a below the required g.p.a.? Msaada wapendwa au ndo elimu ina mwisho
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu...bila shaka Vyuma vinalegea taratibu.. Kuna dogo hapa jirani amemaliza CBG mwaka huu... Sasa alikua ana dream za kusoma afya ya binadam,ila tunajua CBG walivyo pigwa pin hapo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tunaomba ,afisa elimu msingi Wa Halmashauri ya wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro achunguzwe.tumelalamika vya kutosha na vyombo husika vimemfungia macho muda mrefu.tumechoshwa na vituko na...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…