Ushauri: Usichague kozi kwa kigezo cha Mshahara Utateseka

Sir Hemedi

Senior Member
Joined
Sep 28, 2016
Posts
112
Reaction score
120
Hakuna kitu kinaumiza kama kufanya jambo ambalo nafsi yako haifurahii,

Kama wewe ukiona damu tu kizunguzungu kwa nini uchague MD?

Kama wewe macho yako mabovu ya nini ujitese kusoma Computer Science?

Kama wewe Kuongea ni shida kwa nini ujitese kudmsomea Sheria?

Kama ukishika chaki tu unakohoa ya nini usomee Ualimu?

Note: Chagua kozi unayoipenda, inayoendana na hali yako,
Utafurahia maisha.

USISAHAU: KOZI UNAYOSOMA ANZA KUWEKA MIKAKATI YA KUJIAJIRI TANGU UKIWA CHUONI, ILI HATA USIPOAJIRIWA BAADA YA KUMALIZA CHUO, HAITOKUUMIZA SANA.
 
Huuu ukweli kabisa,,, kwa ambaya yupo chuo anaelewa
 
Hakika! Kuna haja ya watu kutafakari sana kabla ya kuhitimisha na kuamua kozi ya kusoma.

First: Know your area of interest.

Second: Determine your STRENGTH on that interest.

Third: Think about your happiness on doing such a thing.
 
Tuna mfumo ambao inakuwa vigimu kwa kijana kujua anataka nini na mahitaji ya hicho kitu na yeye anafit vipi. Shule zetu hata career masters nyingi hazina. Hata hapa JF elimu utaona kuna maswali yanaulizwa ambayo mtu angejishughulisha kidogo tu angepata jibu. UDSM kwa kiasi fulani mwaka jana niliona wana muongozo wa kila degree inahusu nini (mwanzo mzuri) hata kama haikuwa kwa undani sana. Nafikiri TCU, NACTE, NECTA na Vyuo wangeshirikiana kutoa muongozo kwa vijana. Labda shirika kama ILO na Utumishi wangeweza kusidia. Wakielewa hilo la kwanza kwa umakini ni rahisi ku-deal na hilo la pili.
 
Ni kweli kabisa mkuu. Ni wakati sasa tuachane na utaratibu wa kuparamia kozi.
 
Back
Top Bottom