faru john junior
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,596
- 1,717
Moja kwa moja kwenye mada
Nakumbuka nikiwa shule ya msingi miaka hyo ya 1999,ilikuwa baada ya mitihani ya kumaliza muhula tulikuwa tunaambiwa tulete sanaa zetu tulizo buni kwa lengo la kuongezewa marks kwenye kutafuta wastan wa jumla. Kimsingi tulikuwa tunapeleka vitu kama mwiko wa kupikia ambao umeutengeneza mwenyewe au hata kuomba hela ununue mradi tu upate hizo marks. Wengine hupeleka mipini ya majembe,sahani za mbao vipekecho lakini cha kushangaza vile vitu viliishia kutumiwa na walim pasipo hata kupta zile marks
Hili zoezi nililifanya Mara moja tu kwa kujituma nikijua ni kweli baada ya kuja kugundua kuwa ni utapeli ulikuwa unafanyika nikawa sipeleki lakini viboko vilikolea ikabidi nipeleke tu hata kama kitu kinachofanania na hicho
Je vipi huko shuleni kwenu haya mambo yalikuwepo? Na mlikuwa mnapambana navyo vip au ni viboko kama mmi?