Malalamiko; Afisa elimu msingi Halmashauri ya wilaya ya Siha achunguzwe

Kibogoyio2020

Senior Member
May 4, 2018
154
77
Tunaomba ,afisa elimu msingi Wa Halmashauri ya wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro achunguzwe.tumelalamika vya kutosha na vyombo husika vimemfungia macho muda mrefu.tumechoshwa na vituko na unyanyasaji Wa walimu .
Leo siku ni sikukuu ya nane nane ametuandika ujumbe kuwa tuwe kwenye vituo vya kazi na tutumie Fedha zetu kwa nauli.tumechoshwa na unyanyasaji huu.
 
Usiende kwani yeye nani hadi awapelekeshe hivyo ujue walimu ni watu muhimu sana ila wanashindwa kuthaminiwa sababu ni waoga na hawana umoja sasa kamtu kamoja kanawasumbua hivyo mbona watu kama hao huwa hawaingii kwenye anga zangu walimu badilikeni af Huyo afisa elimu alivyokuwa hana akili usishangae na yeye alikuwa mwalimu hapo ndo utapojua kumbe adui wa mwalimu ni mwalimu mwenyewe
 
KWA MALALAMIKO HAYA KIJANA JIANDAE HUYU MTU ANAPANDISHWA CHEO MUDA SIO MREFU, ATAKUWA MKURUGENZIWAKO VERY SOON MAANA INAONEKANA ANACHAPA KAZI KWA TAFSIRI YA SASA
 
KWA MALALAMIKO HAYA KIJANA JIANDAE HUYU MTU ANAPANDISHWA CHEO MUDA SIO MREFU, ATAKUWA MKURUGENZIWAKO VERY SOON MAANA INAONEKANA ANACHAPA KAZI KWA TAFSIRI YA SASA
CV yake ikoje hadi apandishwe cheo kingine?cheo alichonacho sasa kimemshinda.
 
Back
Top Bottom