Uzi maalum kwa mzumbe university

Uzi maalum kwa mzumbe university

Mkuu unakumbuka maeneo ya uswaz pamoja na event za kukata kiu?
 
Hivi Shangwe yupo?alikuwa anajisifia kuoa mke mzuri chuo kizima na hana kazi
 
Wanabodi huu ni uzi maalumu kwa waliopiga shule mzumbe university... Tujuane, tupeane maujanja ya life.. na story za chuo chetu.. ikiwezekana tujadili namna ya kupeleka events mbalimbali zitakazo wapa moyo wanafunzi na wahadhiri wetu...
Karibuni sana..
TUJIFUNZE KWA MAENDELEO YA WATU..
tupo,from school of business alumn
 
Kina Dada wa Changarawe wakija Milambo kufua nguo wanaliwa hadi mimba na wakizaa watoto wanawaita kozi za uhasibu 'ADCA'
 
Back
Top Bottom