Ana E D E (PCB)Atapata chuo cha udaktari Nje ye Nchi

BabM

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
1,167
945
Kama kuna ambaye anaweza kusaidia anipe mwongozo. Nahitaji kujua nchi ambayo kwa matokeo hayo anaweza kusoma udaktari MD
 
Na kuajiriwa aajiriwe huko huko!
Maana akirudi huku wanaqngalia kama alikidhi vigezo
 
Mkuu Fika Kwenye Juction ya Mataa ya Chang'ombe Uliza Global Link watakupa muongozo wa jinsi ya kufanya,ni BURE hautoi chochote kwa muongozo na ushauri jinsi ya kufanya na kupata kozi nje ya nchi,utalipia tu endapo ukitaka kumpeleka mwanao nje na pia wana mikopo hadi 50% ya school fees ambayo utailipa ndani ya miezi minane,huo mkopo hauna riba.
 
Angalau wewe umemsaidi
 
Hivi Mkuu Hawa jamaa faida yao iko wapi?
Maana nadhani ni watu Binafsi......

Maana huwa naona matangazo yao kwenye tv na yule Jamaa anaitwa nani sijui anaongea sana hivi! simkumbuki jina
 
Kuna Charges extra utalipia kwa kazi yao ya kukuunganisha na vyuo vya nje ni kama Agent hivi mkuu,Wao wanafanya kila kitu,Yes Yule jamaa White nadhani ndio Mkurugenzi wa Global Link College.
 
Nimekuelewa Mkuu!
Maana nilikua naangalia lile jengo la ofisi zao sio mchezo aisee
 
Kama kuna ambaye anaweza kusaidia anipe mwongozo. Nahitaji kujua nchi ambayo kwa matokeo hayo anaweza kusoma udaktari MD
Atapata China, lowest kwao bi EEE ila pass nzuri ndio wanakusaidia zaidi mzigo. Achana na eapuuzi wanaojibu fyongo humu. Akija kiongozi mwingine atasema pass mark A ni 95 mpaka 100 je hizi grade ni sawa Africa nzima,mbona mh. Mmoja akiamka akasena changanya mtihano PHYSICS NA CHEMISYRY !!!!!!!
 
+256 755 489 800
+255 658 489 800
+255 673 489 800

Wapigie hao.kuna mtu amekushauri uende kule.
Hawa hapa PCB ya chini EEE. Tafuta mpunga mwanao aende. Global wameanza maonyesho leo pake Chang'ombe Oil com.
 
Kuna issue ya ajira imekuwa raised kuwa wanaweza kumaliza lakini kwenye ajira wakakutana na kizingiti vipi hapo una cha kusema?
 
Kama kuna ambaye anaweza kusaidia anipe mwongozo. Nahitaji kujua nchi ambayo kwa matokeo hayo anaweza kusoma udaktari MD
Kuna watakao kukatisha tamaa lakini hayo ndio maisha, fuata ushauri wa King Kong III #5 GEL watakuekeza hali halisi kama inawezekana au vipi na pia kama kuna conditions za kufanya ili uweze kusomea udakitari huko nje.
 
Kuna issue ya ajira imekuwa raised kuwa wanaweza kumaliza lakini kwenye ajira wakakutana na kizingiti vipi hapo una cha kusema?

MKUU nimechelewa sana kukujibu log in kwenye Jf ni shida kwangu sielewi kwanini. Nadhani umewasiliana na namba za simu nilizokupa.

Mimi mdogo wangu (dada) alimaliza KCMC akafanyakazi Muhimbili alitoka hapo sasa hivi kaajiriwa na NHIS, UK. Na analipwa mshahara sawa sawa na raia kwa ngazi yake. Kabla ya kuajiriwa Hospitaki ya serkaki alifanya private hospital kule UK. Experince yake ya kufanya kaz kwenye surgery room ilimfanya awe Boss wa Kitengo pale UK. Kwenye hiyo hospitali. Baadae akaomba ajira serikalini akapata anapiga mzigo.

Hoja hapa ni kwamba Je China wana stds za ovyo kielimu kuliko sisi kweli ? Yaani sisi na KCMC,Bugando, Muhas tuko juu sana kielimu kiasi hicho.

CHINA ni super power, maeneo mengi wako vizuri.

Tatizo la ajira ni mipango na uwezo wa Serikali, tusichanganye mambo na kukatiishana tamaa.

Zamani za kale kila Wizara ilikuwa ina ajiri, na interview zikifanyika Wizarani hapo hapo na Utumishi walileta maafisa wao.

Twende na wakati, nadhani hata la ajira au Ubora wa Cheti umepata jibu, ni kwamba wale wanapendekeza China kutokana na gharama US inafika mpaka 40m. wana mawasiliano na vyuo nchi nyingine pia.
 
Mkuu naona unaongea vitu fulani vizuri,ila sijaelewa point yako ni nini hasa..vyuo vya afya vya bongo tunawakimbiza wachina au nini hasa??
 
Back
Top Bottom