Amani iwe nanyi wahitimu wa kidato cha sita Kwa mwaka huu 2018/2019.
Napenda kuwapongeza Kwa ufaulu mzuri na matokeo bora,Hongereni Sana.
Napenda kutumia jukwaa hili kuwaalika vijana wote mliapply course ya sheria Kwa vyuo mbalimbali katika telegram group ambapo litakuwa platform ya kushea materials,mbinu na connection baina yenu katika uwanda wa kitaaluma.
Course ya sheria sio ya mchezo inahitaji ushirikiano na haijalishi utasoma wapi lakini mwisho wa siku wote mtakutana law school na kwenye practice.
Wenye uhitaji karibuni PM