Sisi walimu Wa halmashauri ya wilaya ya siha tumechoshwa na vitendo anavyotufanyia afiselimu msingi Wa wilaya yetu.kila Mara ili ufanye kazi maalum au kuhama kituo lazima utoe kituo kidogo.hii...
Habari, wana jamvi. Naomba kujua ni vigezo gani vinavyoangaliwa katika kutoa status like International school, accademy, vipaji maalum.. nk na ni nani anaehusika kutoa na kumantain hizo status
- shule ipo mganza chato.
- mwl awe na uwezo wa kuwasiliana na wanafunzi kwa kiingereza.
- mwl wa kike atapata kipaumbele.
- kama upo mazingira jiran tuwasiliane.
- piga simu namba 0755098159...
Jamani Mimi ni mwalimu wa shule moja ya binafsi, nmefanya kazi mwaka mmoja na miezi mitatu sasa , lakini nnadai mishahara ya miezi 8 mpaka sasahv, naomba msaada njia ya kisheria jinsi ya kuzipata...
Hapa kuna wajuvi wa lugha yetu ya kiswahili ambao wanaweza kukupa maana halisi au tafsiri ya neno ambalo limekuwa likikutatiza kwa muda mrefu. Karibu uweke msamiati wako ili ufahamishwe maana...
Shule ya Sekondari namwai Wilayani Siha yapata tuzo kwa kupata mjongeo chanya matokeo ya kidato cha nne 2017.
Shule hiyo imepata shilingi milioni 2 kwa ajili ya motisha kwa walimu
Habari zaidi...
About PMP:
Project Management Professional (PMP)® is a global credential offered by PMI Inc. PMP® Certification is a globally recognized, rigorous, education and/or professional experience, and...
habari zenu wanajamvi! nimesikia tetesi kuwa kozi hizi zifuatazo kuwa zimerudishwa:
dip. ya ict with education
dip.ya education in primary school
dip.ya childhood.
kwa mwenye tunaomba tushee...
Hapa ni kwa ajili ya kufahamiana zaidi na kupeana taharifa mbalimbali kuhusu chuo kama vile accommodation na mazingira kwa ujumla, pia hata kukifahamu chuo kwa undani zaidi, bila kusahau kuwekana...
Habari wakuu
Kwa anayefahamu kwa mwaka wa masomo 2018/2019 veta wanafungua maombi lini anijuze kuna kijana anataka kwenda huko sasa hatujui kama wameshafungua maombi au bado
2018 CHAPTER BREAKFAST MEETING – INFORMATION SYSTEM AUDIT
21st August 2018 AT 08:00AM-10:30AM
Start your day off right! ISACA Breakfast Meetings offer timely industry information and networking...
Asome ipi kati ya diploma of social work, diploma of accounting or diploma of public accounting and finance.
Nina ndugu yangu anataka kujiunga na chuo,
Je ajiunge na kozi ipi kati ya hizi
1)...
Habari Za Wakati Huu Wanajf!
Ni Matumaini Yangu Mu Wazima.
Niende Kwenye Point, Natokea Kijiji Fulani Wilayani Monduli, Na Hatukuwa Na Shule Ya Msingi Hivyo Tulilazimika Kutenga Eneo Na Baadaye...
Message…wadau naomba kujuzwa kuhusu kubadilisha machaguo udsm hasa kwa kipindi hiki ambacho application zimefungwa je naweza kuingia na kubadili kozi maana nimeingia leo asubuh naona unaruhusiwa...
Hello, Heshima kwenu wakuu
Kama topic inavyoeleza hapo juu, mi ni potential graduate (bado wiki chache nimalize degree ya kwanza ) natamani kuunganisha masters but uchumi hauruhusu, kwa yeyote...
Habar wapendwa.. naomba mwenye namba ya simu ya shule ya Al-hikma au kujua details zake (fee structure) kwa primary student- anatarajia kuanza darasa la kwanza
Nisiongee sana maana Nina hasira na soda yangu niliiweka nikirudi toka mazoezi nije kunywa ila nimekuta imepasuka ndani ya friji tatizo nini,
Nipeni sababu za kisayansi na mniambie siku nyingne...