Naona baado mana kimya mpaka sasaKwa mwenye kufahamu, Ni lini zinatoka selection za postgraduate udsm kwa walioapply kabla ya mwezi wa 6? I mean first round of application.
Ushauri mwanana kabisa japo conection ndio tatizoHV kwanini umepoteza pesa kwaajili ya masters hapo udsm apply ufaransa Belgium ujerumani mbona same cost tuu
Nitafute nikueelezee watu mnaogopa tuu haihitaji connection kuja ulayaSure mkuu... connection ni shida sana
Mkuu hebu tueleze tutazipata vipi hizo za same cost kama za hapa nyumbani. Wengi wetu tuko gizani.HV kwanini umepoteza pesa kwaajili ya masters hapo udsm apply ufaransa Belgium ujerumani mbona same cost tuu
First of all Germany franc hakuna ada unalipia contributions ya students government na public transport . so cost utakayoingia ni insurance na residence ..naona message hazinifiki nikitumia PC ntawajibu ila ntaanzisha Uzi kuhusu hizo systemMkuu hebu tueleze tutazipata vipi hizo za same cost kama za hapa nyumbani. Wengi wetu tuko gizani.
Usisahau kunitag ukianzisha huo uzi mkuuFirst of all Germany franc hakuna ada unalipia contributions ya students government na public transport . so cost utakayoingia ni insurance na residence ..naona message hazinifiki nikitumia PC ntawajibu ila ntaanzisha Uzi kuhusu hizo system
Shida sijui hata kutag jf kwenye kutag imenitoa ngeuUsisahau kunitag ukianzisha huo uzi mkuu
Mkuu fanya hivyo jukwaa hili hili tutashukuru.First of all Germany franc hakuna ada unalipia contributions ya students government na public transport . so cost utakayoingia ni insurance na residence ..naona message hazinifiki nikitumia PC ntawajibu ila ntaanzisha Uzi kuhusu hizo system
Itakua powa Sana Kama ukitusaidia njia ya kupata izo chanceFirst of all Germany franc hakuna ada unalipia contributions ya students government na public transport . so cost utakayoingia ni insurance na residence ..naona message hazinifiki nikitumia PC ntawajibu ila ntaanzisha Uzi kuhusu hizo system
Nimeshapost ingia in my profile utaona but sijaumaliziaItakua powa Sana Kama ukitusaidia njia ya kupata izo chance