Alhikma nursery and primary school- Temeke

Alhikma nursery and primary school- Temeke

ashley27

Member
Joined
Jul 6, 2015
Posts
10
Reaction score
8
Habar wapendwa.. naomba mwenye namba ya simu ya shule ya Al-hikma au kujua details zake (fee structure) kwa primary student- anatarajia kuanza darasa la kwanza
 
Msaada wa kwanza ungetumia simu yako Google ili upate details zao zaidi
Huo ndiyo msaada wangu kwako
 
Msaada wa kwanza ungetumia simu yako Google ili upate details zao zaidi
Huo ndiyo msaada wangu kwako
Nimejaribu kufanya hiyo na namba niliyoikuta nikijaribu kupiga anapokea mtu mwingine anadai hausiani na hayo mambo ya shule ni kwamba namba hiyo itakua imegaiwa mara 2 yan kwa watu 2 tofauti. Ndomana nikalileta humu uenda kuna mwanaJF anamtoto, ndugu au jamaa yupo pale nikaweza kupata mawasiliano hayo. Asante kiongozi kwa ushaur huo
 
Back
Top Bottom