Natapataje Scholarship kwa ajili ya Masters ?

Natapataje Scholarship kwa ajili ya Masters ?

AfroMonster

Member
Joined
Jun 7, 2018
Posts
69
Reaction score
83
Hello, Heshima kwenu wakuu

Kama topic inavyoeleza hapo juu, mi ni potential graduate (bado wiki chache nimalize degree ya kwanza ) natamani kuunganisha masters but uchumi hauruhusu, kwa yeyote mwenye experience jinsi ya kupata scholarship kusoma ndani ya East Africa au kwingineko naomba anisaidie uzoefu wake... Nice day [emoji120]
 
scholarships zipo za ku apply via embassies , zipo scholarships kama commonwealth chevening and so many just visit scholarship sites kama scholarsfordev and nyinginezo
 
Back
Top Bottom