MAOMBI VETA

MAOMBI VETA

Two dimension array

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
1,591
Reaction score
2,383
Habari wakuu

Kwa anayefahamu kwa mwaka wa masomo 2018/2019 veta wanafungua maombi lini anijuze kuna kijana anataka kwenda huko sasa hatujui kama wameshafungua maombi au bado
 
Back
Top Bottom