Dr.philosophy
Senior Member
- Oct 12, 2012
- 122
- 27
Message…wadau naomba kujuzwa kuhusu kubadilisha machaguo udsm hasa kwa kipindi hiki ambacho application zimefungwa je naweza kuingia na kubadili kozi maana nimeingia leo asubuh naona unaruhusiwa ku uncomfirm ukabadil then ukasubmitt. Naomba kujuzwa mana nahofia nsije nsije na uncomfirm. Afu ikanigomea kusubmit
. Natanguliza shukran
. Natanguliza shukran