Wanangu wa Udom karibun san vijana tujenge nchi, confirm mapema wala usisite ila wale wa (PSPA) political science and public administration mjipange maan siyoo poa[emoji54] [emoji54]
Sent using...
Habari zenu wakubwa mimi ninaomba kusaidiwa jinsi ya kujua( kuangalia) course applicant aliyekua selected kwenye vyuo zaid ya kimoja amepata katika vyuo hivyo ...Asanteni
Habari ya asubuhi wakuu....nimechaguliwa chuo.udsm...lkn mpka sasa sijatumiwa msg ya Ku activate....mnanishauri nifanyaje maana deadline kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemaliza kidato cha sita na kuambulia alama zifuatazo yaani:=
Mathematics D
Geography. D
Economics F
General study F
Ombi langu ni kwamba je!naweza soma elimu ya juu katika kiwango cha...
Wanafamilia ni kwanini asilimia kubwa ya watu wanaorudia mtihani wa kidato cha nne na sita huishia kufeli. Wakati huohuo anapotoka katika paper hua anakua na uhakika kua atafaulu lakini matokeo...
Naomba anijuze tofauti ya maneno haya APA
1.bachelor of science education
2.bachelor of science in education
3.bachelor of science with education
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini wakuu,
Tafadhali kwa Anaejua lolote Kuhusiana na iyo Faculty.
Kuhusu Mpango wa Ajira ukoje na uzuri wake.
Toka Chuo Cha Ardhi.
Mnanishauri vipi niende au niachane nayo.
Anaejua please...
Viboko/mijeredi vimetumika kwa miaka mingi kama nyenzo muhimu ya kufundishia mashuleni hasa katika elimu za msingi na secondary. Mwalimu haamini kama kuna njia ingine nzuri ya kufanya Kwa...
Habari wadau: Kwa "Applicants" Wote ambao Mmechaguliwa Kwenye Chuo zaidi ya kimoja na hamjapata code kwaajili ya Ku-confirm, Uvumilivu unahitajika na Muwe wapole. Kila mtu kwa sasa anajua watu...
I have a question.
Maktaba za huko LA zimeanza Mkakati wa kuwafanya watoto wapende kusoma vitabu kwa kuwaondolea deni la ada Katika shule wasomazo.
Kwa kila lisaa limoja mtoto analotumia kusoma...
Ndugu nilituma maombi chuo cha ardhi kila kitu kilienda sawa ila hapo kwenye TCU status nimeshindwa kupaelewa tatizo ni nini iliniweze kurekebisha maana first round selection nimekosa nataka...
Eti credit ya BAM ni sawa na crredit ya PURE MATH ? Pia wakati wa ku apply course ambazo sifa yake uwe na MATHEMATICS je unaweza kutumia BAM kama ndo kigezo chako ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa yangu anaomba ushauri aconffirm kozi ipi kati ya Pharmacy MUHAS (Muhimbili) na Veterinary Medicine SUA. Ushauri uzingatie ugumu, nafasi ya kujiajiri na kuajiriwa. Zote anazipenda na ana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.