MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,124
Kesho ndiyo tarehe ya mwisho ya kuthibitisha vyuo lakini mpaka muda huu wa saa moja usiku hamjatuma codes, kwa hiyo tunaomba muongeze muda wa siku 3
Kwa kweli watusaidie kwa hilo maana hamna jinsiKesho ndiyo tarehe ya mwisho ya kuthibitisha vyuo lakini mpaka muda huu wa saa moja usiku hamjatuma codes, kwa hiyo tunaomba muongeze muda wa siku 3
Hawajatuma kwa hiyo sio makosa yetu
Sijajua but wangetoa majina ili kusudi tujue tumechaguliwa au vipi?Kwa sisi wa chuo kimoja kuna haja ya kuthibitisha?
TCU watalikoroga shauri yaoSijajua but wangetoa majina ili kusudi tujue tumechaguliwa au vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi nchi hii kuna waandishi wa habari kweli? kazi yao nini?