Mmmmhh! Sawa Mkuu Akhsante Kwa Ushauri Mzuri.Nenda dogo wapimaji ardhi Tanzania ni wachache sana. Utapiga hela hadi utachoka. Hiyo ndio kozi mama pale ardhi ukiongelea upimaji ardhi unaonglea geomatics na geoinformatics. Ila shule yake ni ngumu sana so itabidi utulize akili.