Jinsi ya Ku activate

Jinsi ya Ku activate

Habari ya asubuhi wakuu....nimechaguliwa chuo.udsm...lkn mpka sasa sijatumiwa msg ya Ku activate....mnanishauri nifanyaje maana deadline kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu niombe kujua kwa UDSM unajuaje umechaguliwa program gani, kwani yuko dogo yuko kwenye list ya waliodahiliwa zaidi ya chuo kimoja na ameambiwa amechaguliwa UDSM na SUA. Issue inakuja hajui UDSM amechaguliwa program gani. Msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom