Kumbukumbuyatorati
Senior Member
- Jul 27, 2018
- 152
- 222
Nimepata hofu baada ya kuchaguliwa kozi hii u dom naomba uelewa wenu juu ya hii kitu maana nataka niombe chuo kingine.
Ilikuwa chaguo la tatu sasa ndo wamenichagua na ushauri wa watu wanasema haina ajiraHOFU GANI NA ULIIOMBA MKUU.
Kwani si ulichagua mwenyeweNimepata hofu baada ya kuchaguliwa kozi hii u dom naomba uelewa wenu juu ya hii kitu maana nataka niombe chuo kingine.
mkuu kwani dodoma wametoa majina ya single sorry lakiniNimepata hofu baada ya kuchaguliwa kozi hii u dom naomba uelewa wenu juu ya hii kitu maana nataka niombe chuo kingine.
Ukifika chuoni unauwezo wa kubadilisha.
Mimi mwenyewe nilichaguliwa course ambayo sikuwa naitaka nikasema okay nikafanya admission kisha nikaandika barua kuomba kubadilishiwa nikakubaliwa nikasoma nilichokuwa nataka.
Tanzania mfumo wetu wa elimu mbovu sana. Na wasomi wengi hapa Tanzania hawasomagi kile wanachokitaka ndio maana hata wanapohitimu inakuwa ngumu kupata kazi au kujiajiri na hata wakiajiriwa hawana ufanisi kutokana na kupangiwa kitu cha kusomea na sio kusomea kitu wanachotaka.
Ahsante kwa ushauri
Nitaandika barua ya wazi kwa bunge la Tanzania waangalie hili swala maana ndio chanzo kikubwa na kudorora kwa maendeleo nchini.
Sent using Jamii Forums mobile app