Hapa nimepewa kazi ambayo naona imenishinda ya kumshauri mdogo wangu aliepewa option na TCU kuchagua kati ya Tax Management (CHUO CHA KODI) au Horticulture SUA. Ushauri uzingatie soko la ajira...
NAOMBA MSAADA WAKUU KWA ANAEJUWA
nimechaguliwa BED in Science Ila Sijaipenda Napenda Bachelor of Science with education nifanyeje wakuu? ni Reapply upya au
Husika na kichwa cha ujumbe hapo juu.
Napenda kujua sifa na vigezo vya kupata fully funded scholarship nchini china BACHELOR DEGREE.
Itapendeza kama nitapata maelezo ya ziada pamoja na ushauri...
Heshima kwenu wana JF!
Nina dogo amaemaliza form six na kupata Div 2 ya point 11 na alisoma PCB malengo yake aliomba Bsc in Medicine,Bsc in Laboratory na Bsc in Nursing lakini zote amekosa na...
Habarini wakuu nina rafiki yangu alichagua vyuo vitatu lakini akabahatika kuchaguliwa chuo cha CBE Mwanza lakini hayuko tayari kabisa kwenda hicho chuo anataka kwenda SAUT Mwanza kwan ni moja ya...
Baadhi ya vyuo kama SUA,UDOM sasa hivi wanaweka majina ya usahili(interview) ya nafasi mbali mbali za kazi kwenye tovuti(website) yao,tabia ya kutumia njia ya kupiga simu kuwa ndio njia pekee...
wasalam
kama kichwa kinavyojieleza naomba msaada kujua field kozi hii kujiajiri au kuajiriwa ( hasa kwa wahitimu na wenye uelewa wa kozi hii).
pia nataka kujua kama ina tofauti na bachelor in...
Habari,
Kwa wale waliochagulia UDSM without mulitiple selection, kuna mtu mwingine anaekutana na ujumbe "You have REJECTED this admission offer " ilihali hakukua na sehemu ya kukubali wala...
TCU naomba sana mlifuatilie...
Kuna suala limeibuka la baadhi ya vyuo kufanya confirmation bila ridhaa ya mwanafunzi husika. Jambo hili litasababisha kutokea kwa multiple confirmation na hivyo...
Wanajamvi kutokana na destruri ya taasisi hii ya TCU kila hatua kuwa na changamoto zake ambazo kimsingi si za lazima sana lakini kila mara tunajikuta hukohuko tu. Sasa baada ya kuconfirm chaguo la...
Kwa mara ya kwanza nilikutana na vijana wa kike na wakiume ambao Kiinglish kimelala.
Zoezi la kwanza lilikuwa "Explain about Yourself''
Hapo ilikuwa ni patashika, maana kuna watu hadi tulitungiwa...
Polen na majukumu wakuu, kwa miaka ya nyuma kulikua na utoaji wa mkopo kwa diploma wanaosoma vyuo vya selikali , naomba kujua kwa ss ivi hili jambo bado lipo? Na kma lipo muombaji anafata...
Vyuo vingi hadi muda huu vishatoa majina yote ya wanaotakiwa kuthibitisha na ambao hawatakiwi kuthibitisha( waliochaguliwa chuo kimoja)
KCMC na ninyi toeni majina yote basi ili watu wajue mbivu...
Kuna wanaotaka tuachane kabisa na Kiingereza badala yake tujifunze kiswahili pekee. Hii inashangaza kwasababu viongozi hao hao wanapeleka watoto na wajukuu zao kwenye shule ambazo hazifundishi...