Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Mwalimi anapaswa kumfundisha mwanafunzi kwa kuzingatia nyanja kuu tatu ambazo ni; 1). Maarifa(cognitive) (2). Stadi(psychomotor) na (3). Mwelekeo(Affective). Kwa maana nyingine, mtoto anapaswa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ombi langu ni kwa wale kaka zetu na dada zetu waliopo Ifm ningeomba waanzishe Ifm special thread ili kuweza kutusaidia wadogo zao wa mwaka wa masomo 2018/2019 mambo mbalimbali
0 Reactions
2 Replies
612 Views
"Hatuna wanasayansi tuna watu wanaosoma sayansi...hatuna mainjinia ila tuna watu wanaosoma injinia….kama tutafumua mfumo wa elimu kuanzia shule ya msingi itasaidia kubadilisha mfumo wa...
9 Reactions
54 Replies
5K Views
Naomba kuuliza jinsi ya upatikanaji wa admission letter kwa wanafunzi waliochaguliwa UDSM tafadhali kwa yeyote mwenye uelewa na hili anisaidie..
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Uku Geita mbona sisi walimu wapya amtaki kutupa fedha ya kujikimu mpaka saiv
0 Reactions
1 Replies
720 Views
Habari wakuu, Vyuo mbalimbali vimeanza kutoa majina kwa waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu. Stella Maris Mtwara, Makumira, St.Joseph, Saut, CUHAS na vingine. Nitaendelea kuwafikishia kadri...
8 Reactions
395 Replies
165K Views
Muda uliopita niliomba ushauri kuhusu mahali pazuri zaidi panapofaa kwa ajili ya kupata taaluma ya sheria lakini naona wadau wengi waliidharau Udom. (sijui ni kwanini???) Ndugu yangu amemaliza...
0 Reactions
132 Replies
23K Views
Kwa mujibu wa ratiba ya TCU leo tarehe 06/10/2018 ndiyo ilikuwa tarehe ya mwisho ya kutoa feedback kwa wale walio chaguliwa thidr round lakini mpaka muda huu saa 9:44 hakuna kitu chochote katika...
1 Reactions
29 Replies
7K Views
habar wakuu,juzi niliandika thread iliyokuwa inaelezea tatizo la akaunt yang ya udsm campus ya mkwawa kuw nimetoka kwnye multiple wakat ukwel haukuw hvyo.sasa Leo mida ya SAA NNE hv naona...
0 Reactions
2 Replies
871 Views
Kutoka TCU tangazo kwa umma
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Heshima kwenu wakubwa, Nataka kurudi shule, nina qualification zote, nisomee kozi ipi kati ya NISOMEE IPI KATI YA DIPLOMA IN PHARMACY NA BACHELOR IN BIOMEDICAL ENGINEERING
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari wana JF...... Naomba msaada wa Majina ya Shule za Wasichana za Boarding zilizo chini au kusimamiwa na KKKT na Mawasiliano yao kama yapo itakuwa vyema........ Shule ambazo zipo Dar wa...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Wanadau kwa yoyote mwenye dondoo juu ya hasa ni lini selection za round ya tatu zinatoka tupeane update kupitia uzi huu. Maana siku zinasonga kwa kasi halafu wengi hatujui hatma yetu. Tafadhali...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari, nimesikia kuna somo la Food and Human Nutrition. Ivi Shule gani unayoijua hulifundisha somo hilo?
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Wakuu naombei msaada juu ya kozi ya bachelor in archeology ya udsm,kwani ndo kozi niliyobahatika kupata second round.nahitaji kujua inahusu nn na ajira zake kiujumla.napenda kusema haya yote ni...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Ipi Ni kozi nzuri ya kusoma Kati hizi mbili,Tafadhali naombeni ufafanuzi
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Elimu ya kumkomboa masikini ni Serikali kuwekeza kwenye elimu ya ufundi kuanzia Msingi hii itafanyaTanzania yenye Nguvu ki Uchumi katika Elimu inayogusa jamii ya watu wenye kipato cha chini ambao...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyojieleza ivi jaman naweza pateje kitabu hiki historia darasa la 6 , hasa mtandaoni sijui naweza pata katika web gan?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naomba msaada /hints za namna ya ku-integrate swali ambalo liko kwenye attachment
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama kawaida yao, UDSM wanaendelea kuongoz list ya Vyuo bora Tanzania, best five ni: 1. UDSM 2. SUA 3. MU 4. UDOM 5. MUHAS full list hii hapa: Top Universities in Tanzania | 2018 Tanzanian...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…