Mrejesho; Hatimaye tatizo langu la multiple limeisha

Dr.philosophy

Senior Member
Oct 12, 2012
122
27
habar wakuu,juzi niliandika thread iliyokuwa inaelezea tatizo la akaunt yang ya udsm campus ya mkwawa kuw nimetoka kwnye multiple wakat ukwel haukuw hvyo.sasa Leo mida ya SAA NNE hv naona wanelishughlkia tatazo langu na sasa limeisha
 
Kiaje...wasaidie na wenzako....
niliwapigia cm chuo husika wakaniulza details znhu nkawatajia then wakasema watalishughikia,hyo ilkuwa Jana lakin mpaka jana usiku Jana tatizo lilikuwepo mpaka ilpofka asbuh mida ya sa nne nkaingia kwenye ptofile ys ngu na kukuta msplmbo yapo sawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom