Msaada please juu ya kozi hii

Mchepuko1

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
215
102
Wakuu naombei msaada juu ya kozi ya bachelor in archeology ya udsm,kwani ndo kozi niliyobahatika kupata second round.nahitaji kujua inahusu nn na ajira zake kiujumla.napenda kusema haya yote ni TCU inafanya mpaka tuchanganyikiwe na kuweka kozi ambazo hatuzielewi kutokana na kuhofia kukosa chuo.ntashukhuru endapo mtanisaidia
 
Ni kozi nzuri na kazi zake nyingi hufanyika nje ya eneo lako la kazi kwa hiyo unaweza usiwe unagusa mshahara ila unaishi kwa perdiems
 
Kama huna msaada bora utulie humu sio pakutafutia sifa sifa zako peleka kwenu
 
Wakuu naombei msaada juu ya kozi ya bachelor in archeology ya udsm,kwani ndo kozi niliyobahatika kupata second round.nahitaji kujua inahusu nn na ajira zake kiujumla.napenda kusema haya yote ni TCU inafanya mpaka tuchanganyikiwe na kuweka kozi ambazo hatuzielewi kutokana na kuhofia kukosa chuo.ntashukhuru endapo mtanisaidia
Inahusu mambo ya kale, ni nzuri sana, na kuna uwezekano utafika hadi mpaka kwenye mapiramidi ya huko Misri au kule Easter Island ukiwa katika kazi ya kufanya utafiti. Kuna mtu mmoja namfahamu sasa hivi anafanya PhD yake kule Canada. In fact, almost wewe kila kitu ambacho ni cha kale na ambacho kinaonekana kuwa ni maajabu hapa duniani utakifahamu na ama kukiona kabisa kwa macho. Pia kuna uwezekano mkubwa kabisa kuwa kama wewe huamini kuwa Mungu yupo, kozi hii itakupelekea uamini hilo na kukusababisha uanze kwenda msikitini au kanisanii. I like Archeology
 
Asante watu kama nyie mnapaswa kuwa ktka jf ,je hii course field inakuwaje na kuajiriwa pamekaaje naomba msaada mkuu
 
Kwann unakuwa mkali sana? Mbona unawatukana watu wanaokushauri?

Ndio tujue umevurugwa sana au?
 
Wakuu naombei msaada juu ya kozi ya bachelor in archeology ya udsm,kwani ndo kozi niliyobahatika kupata second round.nahitaji kujua inahusu nn na ajira zake kiujumla.napenda kusema haya yote ni TCU inafanya mpaka tuchanganyikiwe na kuweka kozi ambazo hatuzielewi kutokana na kuhofia kukosa chuo.ntashukhuru endapo mtanisaidia
Mambo unayoyataka kwa kozi unayotamani kusoma ndiyo kama haya hapa! I like archaeology

Ushahidi juu ya Aliens wazidi kufichuka: Uwanja mkubwa wa Ndege za Anunnaki wagunduliwa Lebanon. Umejengwa kwa matofali yenye uzito wa tani 1,600. - JamiiForums
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom