Mwananchi wa chini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 227
- 599
"Hatuna wanasayansi tuna watu wanaosoma sayansi...hatuna mainjinia ila tuna watu wanaosoma injinia….kama tutafumua mfumo wa elimu kuanzia shule ya msingi itasaidia kubadilisha mfumo wa uchumi…..".Joseph Mtele-UDSM