Kwa wale wapenzi wa calculus naomba msaada

Kwa wale wapenzi wa calculus naomba msaada

Swali lishakwisha hilo kabla sijalifungua,,,calculus ulikuwa uwanja wa nyumbani
 
Mkuu Nikishuka kwenye dala dala nitakusolvia!
 
Hiyo function ya chini ipandishe juu itakuwa na neg power 1, halafu fanya expansion nadhan kwa maclaurine,kisha izidishie ndani hiyo X iliyoko juu utapata function ambayo unaweza intergrate kwa concept za kawaida kama by part
 
Nashukuru kwa kuonyesha concern ila napenda kukufahamisha kuwa ukifanya hivyo unatengeneza function nyingine ambayo integration yake ni ngumu mara mia kuzidi ile iliyopo sasa hivi!
 
Sawa boss ngoja wataalam wanakuja, kumbe nimebaki na uwezo wa kuhesabu hela tu.
 
Hapo rahisi Sanaa.... chukua X zidisha kwa mbilii alafu Jumlisha 6 kazii kwishaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom