Natafuta Shule za Olevel Boarding za Wasichana zilizochini ya Lutheran church (KKKT)

dreamchaser94

Member
Jul 26, 2016
32
4
Habari wana JF......
Naomba msaada wa Majina ya Shule za Wasichana za Boarding zilizo chini au kusimamiwa na KKKT na Mawasiliano yao kama yapo itakuwa vyema........

Shule ambazo zipo Dar wa Salaam, Morogoro, Pwani na Moshi

Ahsanteni
 
AGAPE SECONDARY iliyopo Moshi mkoani Kilimanjaro,maeneo ya Marangu hakika hutojutia.
 
Back
Top Bottom